SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Usiku dar lakini kule haikuwa usikuTulishasahau kucheza usiku ndiyo maana tumepigwa 4:0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku dar lakini kule haikuwa usikuTulishasahau kucheza usiku ndiyo maana tumepigwa 4:0
Haya kateni rufaa na nyie, kagera wamenyamaza kazi kuchonga mdomo tu, badala ya maandalizi mshafungwa 4:0 rudini ukavue vyura jangwani
Mkuu uliona mbali sana.Mpira wa yanga unachezwa mdomoni. Tena bado watapigwa 2 zingine
Kaka mchezo huu hautaji hasiraKweli wewe kahaba.
We kafir unapenda sana kujipendekeza kwangu.. Tahadhali sana mjinga weweKweli wewe kahaba.
Mkuu,
FT:
MC Algiers 4-Yanga0
Yaani ni 4G-0!
Niliona wanabutua buta wakidhani wanacheza na wana lizombe, kumbe mwarabu. Warabu wakija Dar wao sana wanatafuta sare au wakifungwa goli moja. Wao yeboyebo wa naona goli moja wameshinda!Mkuu uliona mbali sana.
Unahonga vipi timu ambayo huchezi nayo? Hivi wewe una akili timamu kweli? nilidhani upumbavu wako ni kule jukwaa la siasa tu kumbe hata michezo zero bashite hujui lolote.Hela Zote walipeleka kuhonga Toto badala ya kuwapa Motisha Wachezaji wao!
Unahonga vipi timu ambayo huchezi nayo? Hivi wewe una akili timamu kweli? nilidhani upumbavu wako ni kule jukwaa la siasa tu kumbe hata michezo zero bashite hujui lolote.
Hivi ni kwa nini Waarabu huwa hawaanzi nyumbani hizi mechi?