Kutoka Bongo Movie kuelekea bora tu movie

Kutoka Bongo Movie kuelekea bora tu movie

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Aisee katika industry iliyo na kasoro kwa sasa tukubali ni hawa waigizaji wa sinema kiujumla.

Sinema za sasa hazieleweki zina zungumza nini! Nilicho bahatika kuona walivo jipodoa na misambwanda.

Tuje wale wa kila siku movie zinatoka aka mbagala movie au ukitakaa kushuudia zipo wapi nenda Kariakoo mtaa wa grey.

Hapo ndipo soko la local za kiwango cha rami za bongo movie zikiuzwa.

Yaani kuna wasanii hata kuchekesha hawajui lakini kila siku wanatoa movie.

Serikali au watu binafsi tunaomba kuangalia hupya kuanzisha elimu ambayo itawasuka watu.ili kuendana na soko
 
Bongo movie bongo lala. Taaluma isiyotumia akili..wao hutumia misambwanda na kujipodoa, warudi shule wakasome sanaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom