Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kazi ya vyama vingi ni kututofautisha lugha kama ilivyokuwa kwenye ujenzi wa mnara wa Babeli.Natamani sana mfumo wa chama kimoja kwasababu ndio mfumo imara na madhubuti.
Huu ni upumbavu usiotibika. Hata mungu ana demokrasia PANA,ndiyo maana Leo wewe unazini,unaiba hata unakufuru,lakini hakuui wala Ku kupiga dhahili! Wakati anakupa kila kitu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kumbe kabla ya mwaka 1992 Tanzania ilikuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani! Ikafanya kosa la kukubali uwepo wa vyama vingi na kosa hili likatugharimu kushuka sana kiasi cha kuwa miongoni mwa nchi masikini zaidi duniani! Kweli kama huu ndio uwezo wa kufikiri wa wasomi wetu, basi hata mimi ninauwezo mkubwa tu wa kuwa waziri.
 
Kama kweli Mheshimiwa Simbachawene amenena hayo basi pengine yuko kwenye dunia ya peke yake.
Pengine amelewa ubunge maana waheshimiwa hawa mara nyingi hujisahau na kuna wengine wanadhani kauli zao zinatengeneza kumbe ndiyo wanaharibu na mfano mzuri ni ule wa ma DC wetu kuwekana ndani.
 
h
huyu ndio aliyeleta muswada wa mafuta na gesi kwa hati ya dharura huku hao anaowaita mabeberu leo wakiwa wengi kuliko weusi bungeni.... alidhani tumesahau
 
Huyu ni wa kupuuzwa tu, kwanza ni mwizi na hana maana kabisa. Hivi anafahamu angekuwa China na ule wizi aliofanya bado angekuwa hai. Bogus kabisa.
 
Kuna tetesi huko TISS kwenye kumejaa witchcraft activities. Ndio maana kuna mtu kila siku anaomba aombewe
 
Tulizoea kusikia BUNDI ATUA JANGWANI AU MSIMBAZI, Mbona huyu aliyekita kambi Bungeni hakuandikwa sana.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Yamesemwa mengi Sana juu ya huu muswada muda ni hakimu mzuri utatuambia
 
Huyu ndo kipanga wao wanayemtegemea du kazi IPO kweli kweli . Hata mtoto wangu wa form two anajua uhusiano uliopo kati ya demokrasia na maendeleo,kuliko huyu jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akae atulie,hz c zama zake.kujikomba hakutamsaidia akaribishwe tena kwenye keki.alipimwa akaonekana hafai.
 
Tatizo ccm wanafanya kila hila kujimilikisha inchi wao na watoto wao
 
umasikini utaendelea kukidhiri katika taifa hili kwa ajili ya ccm na wanaccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…