Kutoka CCM Kirumba: Full time Toto Africa 0 - 0 Simba FC

Kutoka CCM Kirumba: Full time Toto Africa 0 - 0 Simba FC

Ha ha ha haaaa..... simba woyeeeeee.......
 
Yanga mnashangaza sana mmesema jumanne mnaenda mahakamani tunawasubiri FIFA msikie kivumbi chake
 
8364678496212aac8dfbc7549603edad.jpg
 
Mhasibu wa Rufaa Fc kakosea kutuma pesa leo kamtumia mchezaji anaecheza ndondo cup
Unajua mlichozoea kufanya mnadhani kila mtu hufanya!Maneno kimataifa,moyo iko mchangani!Timu yako unajua imeshafungwa ngapi muda huu?
 
Back
Top Bottom