Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaa eti anaenda kuripoti?Nimepishana na haji manara hapa maeneo ya tff bila shaka anaenda kuripot jambo
Yanga mna stress jaman chezen mpira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tuone watakuja na kituko gani tena.
Unajua mlichozoea kufanya mnadhani kila mtu hufanya!Maneno kimataifa,moyo iko mchangani!Timu yako unajua imeshafungwa ngapi muda huu?Mhasibu wa Rufaa Fc kakosea kutuma pesa leo kamtumia mchezaji anaecheza ndondo cup
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kosa la leo ni mhasibu kakosea mhamalaUnajua mlichozoea kufanya mnadhani kila mtu hufanya!Maneno kimataifa,moyo iko mchangani!Timu yako unajua imeshafungwa ngapi muda huu?
vipi msha wapa haki yao?Hawa yanga wengine lazima tuwape haki yao, cha nguruwe tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kosa la leo ni mhasibu kakosea mhamala
Manager Nakosea ya mwisho[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mchezaji wa zamani hakutuma hela leo
Mjiandae kukata rufaa tenaHawa yanga wengine lazima tuwape haki yao, cha nguruwe tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Manager Nakosea ya mwisho[emoji23] [emoji23]
Uwanjani mmetoka sare ila mtaleta figusi mpate point3Yanga mna stress jaman chezen mpira![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()