Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

JK enzi zile alijichukulia sana umaarufu kwa ule msemo wake wa "Akili za mbayuwayu changanya na zako"
 
Naona anawaandaa mbumbumbu wa kitanzania kwenda kwenye machinjio ya corona. Ngoja ianze kukamua. Mtakimbiana
Mkuu korona inakamua ,inaonekana haujashuhudia mtu wako wa karibu aliyeeondoka na korona ndio maana hauamini kama ishaanza kukamua!!! Watu wanapukutika kwa korona kila uchwao!!
 
Halafu mbona koozi limemng'ang'ania sana. Wiki ya tatu sasa halitoki. Mzee jiangalie huenda lile fenesi walichanganya na sampuli yako wakajisahahu
Kwa corona asingefikisha week tatu mkuu
 
Isije kuwa ni mwendelezo wa kumislead wananchi na kuwapa matumaini hewa ili wasiamini vipimo vinavyotolewa na maabara.

Maabara yetu ni Biosafety Lab level 3. Haiwezi kuwa na madudu hayo anayosema. Hiyo sio maabara ya Huruma dispensary kule Bagamoyo au Isimila iringa.

Huyu jamaa sio wa kumwamini kabisa.
 
Wakuu nimeona fursa moja. Nataka nianze kuimba mapambio ya kumsifu raisi wetu mpendwa Dkt ndugu yangu John Joseph Magufuli, nataka nianze kumtetea kwenye mitandao ya kijamii, vipi mnaonaje wazo langu? Je nitafanikiwa kuukwaa hata ukuu wa wilaya? Mawazo yenu tafadhali.
 
Kuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?.
Kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao!.
P
Huyu anazungumza kwa kusubiri matokeo! Kama aliliona hilo kwa nini tangu mwanzo hakulisema hilo hata kutoa mwongozo kwa watu wake? Kwa nini anasubiri yatokee kisha ndipo azungumze? Watu wangapi kipindi hiki wamezikwa na wanazikwa kwa mfano wa huyo aliyemtolea mfano?

Anatafuta vihoja vya kuonekana bingwa kifua mbele ni mwenye maono na upeo wa hali ya juu! Yeye ni mwerevu mno waliyochini yake ni wajinga mno!! Wakazi wa Temeke wanazungumza kwa walichokiona maeneo yaliyotengwa kuzikwa waathirika wa covid-19, usiku kwa usiku miili inaletwa na inazikwa sana! Mbona hazungumzii hayo? Anakuja anatoa vitisho vya kudhihirisha ujinga wake uliyokubuhu! Mwambie kama yeye hana taarifa sisi tunazo! Asitupangie kama yeye alivyo hataki kupangiwa!

Simchukii na sina chama ila sipendi ujinga wa dhahiri wenye kudhuru. Atawadanganya wengine ila si sampuli yangu.
 
Watanzania tusimame imara, tumeisha shinda hii vita.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki Watanzania wote
Hii vita tutaishinda.
Live imemalizika.
P
Mkuu ukipata mda nijibu hili kama Jibu lake unalo, Hivi ashajulikana aliyeruhusu upulizaji wa dawa katika jiji la dar es Salaam?? Katika mkutano uliopita na Vyombo vya usalama alitoa Amri kumjua mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kuambiwa changanya na zako.
Yeye mbona mwezi wa 3 yuko Chato ikulu ndio iliko?
 
Namsikia mzee anasema wanamichezo corona inawakwepa wakati Dybala kaumwa corona mara 4, matuidi ina maana hawa hawafanyi mazoezi au sio wanamichezoSent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni either haelewi asemalo au anajifanya anajua wakati hajui kituhawa ni baadhi ya high profile players kupata corona

Footballers with coronavirus: Full list of players who have tested positive for COVID-19

Here, Express Sport has rounded up a list of players who have contracted the coronavirus.

Daniele Rugani, Juventus
Blaise Matuidi, Juventus
Paulo Dybala, Juventus
Manolo Gabbiadini, Sampdoria
Omar Colley, Sampdoria
Albin Ekdal, Sampdoria
Antonio La Gumina, Sampdoria
Morten Thorsby, Sampdoria
Premier League suspended: What happens if season doesn't finish? Three possible options

Fabio Depaoli, Sampdoria
German Pezzella, Fiorentina
Patrick Cutrone, Fiorentina
Dusan Vlahovic, Fiorentina

Mattia Zaccagni, Verona
Callum Hudson-Odoi, Chelsea
Luca Kilian, Paderborn
Timo Hubers, Hannover


Players Together for NHS: Full list of footballers supporting NHS Charities Together

Jannes Horn, Hannover
Hyun-Jun Suk, Troyes
Ezequiel Garay, Valencia
Eliaquim Mangala, Valencia
Marouane Fellaini, Shandong Luneng
James Bolton, Portsmouth
Andy Cannon, Portsmouth
Sean Raggett, Portsmouth
Haji Mnoga, Portsmouth

Footballers with coronavirus: Full list of players who have tested positive for COVID-19
 
Yani vyombo vya habari vya nje vinamripoti mtu akipiga vijembe kuhusu Corona huku yeye akibanja kishenzi. Hii si aibu jamani!
 
Mkuu kwani kulipa Posho au kutolipa ni suala la maagizo ya Rais au kanuni?hiyo ni kanuni nyepesi kabisa na huwa inafanya kazi siku zote.

Kwamba Rais yuko chato ni kwake na ndio atakakozikwa yupo sahihi lakini atambue na hao walioamua kuacha bunge warejee makwao wstakakozikwa wako sahihi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…