BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Daahh..nimecheka sana..sio kwa uzuri lakini.Wasiwasi wako Nini bhana? Mzigo unaingia soon kutoka Madagascar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daahh..nimecheka sana..sio kwa uzuri lakini.Wasiwasi wako Nini bhana? Mzigo unaingia soon kutoka Madagascar
Ndio na tunakuomba arudi ikulu dsmLong Live Mr. President..
Mambo uliyoongea leo ni mazito sana..
Watanzania bado tuna imani na wewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gani???Matusi yamenikaba nimeshindwa kuyatamka.
Ni mengi sana kila moja linagombania kutamkwa.
Kkma kibuyu!
Mkuu korona inakamua ,inaonekana haujashuhudia mtu wako wa karibu aliyeeondoka na korona ndio maana hauamini kama ishaanza kukamua!!! Watu wanapukutika kwa korona kila uchwao!!Naona anawaandaa mbumbumbu wa kitanzania kwenda kwenye machinjio ya corona. Ngoja ianze kukamua. Mtakimbiana
Kwa corona asingefikisha week tatu mkuuHalafu mbona koozi limemng'ang'ania sana. Wiki ya tatu sasa halitoki. Mzee jiangalie huenda lile fenesi walichanganya na sampuli yako wakajisahahu
Isije kuwa ni mwendelezo wa kumislead wananchi na kuwapa matumaini hewa ili wasiamini vipimo vinavyotolewa na maabara.Akihutubia kwenye sherehe za kumuapisha waziWa mpya wa Sheria na Katiba, ndugu Mwigulu Nchemba, Rais amesema atatuma ndege Madagascar kuleta dawa ya kupambana na Coronavirus.
Mbali na hayo pia Rais ameelezea namna ambavyo maabara ya kupima Corona ilivyojaa madudu.
Kuna sampo mbalimbali, zikiwemo za mbuzi, kondoo, papai, na mafenesi zilitumwa kwa Siri maabara na Kati ya sampo hizo zipo zilizoonyesha kuwa zimeathirika na Coronavirus.
Amekazia kwenye kuishinda hofu na kutoogopa.
Huyu anazungumza kwa kusubiri matokeo! Kama aliliona hilo kwa nini tangu mwanzo hakulisema hilo hata kutoa mwongozo kwa watu wake? Kwa nini anasubiri yatokee kisha ndipo azungumze? Watu wangapi kipindi hiki wamezikwa na wanazikwa kwa mfano wa huyo aliyemtolea mfano?Kuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?.
Kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao!.
P
Huyo anatakiwa awekwe karantini kwanza koozi kavu sana lile.Kwa corona asingefikisha week tatu mkuu
Mkuu ukipata mda nijibu hili kama Jibu lake unalo, Hivi ashajulikana aliyeruhusu upulizaji wa dawa katika jiji la dar es Salaam?? Katika mkutano uliopita na Vyombo vya usalama alitoa Amri kumjua mhusika.Watanzania tusimame imara, tumeisha shinda hii vita.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki Watanzania wote
Hii vita tutaishinda.
Live imemalizika.
P
Za kuambiwa changanya na zako.Akihutubia kwenye sherehe za kumuapisha waziWa mpya wa Sheria na Katiba, ndugu Mwigulu Nchemba, Rais amesema atatuma ndege Madagascar kuleta dawa ya kupambana na Coronavirus.
Mbali na hayo pia Rais ameelezea namna ambavyo maabara ya kupima Corona ilivyojaa madudu.
Kuna sampo mbalimbali, zikiwemo za mbuzi, kondoo, papai, na mafenesi zilitumwa kwa Siri maabara na Kati ya sampo hizo zipo zilizoonyesha kuwa zimeathirika na Coronavirus.
Amekazia kwenye kuishinda hofu na kutoogopa.
Jamaa ni either haelewi asemalo au anajifanya anajua wakati hajui kituhawa ni baadhi ya high profile players kupata coronaNamsikia mzee anasema wanamichezo corona inawakwepa wakati Dybala kaumwa corona mara 4, matuidi ina maana hawa hawafanyi mazoezi au sio wanamichezoSent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye hajipendi?Yeye hana hofu mbona kakimbilia kijijini?
Mkuu kwani kulipa Posho au kutolipa ni suala la maagizo ya Rais au kanuni?hiyo ni kanuni nyepesi kabisa na huwa inafanya kazi siku zote.JPM awa mbogo. …… …… Ati nipo Chato, Chatto ndio nitazikwa . ….. .. kila kitu mnafanya siasa, Mbatia huwa ananitumia message amepongezwa. …….. Wabunge wa Chadema wasiokwenda Bungeni kwa kususia hawatalipwa posho, wakalipwe na Mabeberu.
JF wachangiaji wengi wacheni wivu, Chadema inawapoteza.