Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Madelu ni Kinyiramba kwa Kiswahili ni Mandevu ndio maana unamuona hata hua hajijali na mandevu yake.Mkuu hii Lameck Madelu inatoka wapi. Mbona kila sehemu naona linatajwa.
BAKWATA yenu imeshapakatwa siku nyingi.Kwani Mufti ana uwezo wa kutoa amri kwamba waislam tusifunge?? Hiki ni kituko. Eti kamuhakikishia waislam wataendelea kufunga - does he have a clue what is he talking about?
Sasa point yako nini?Nimeona nyuma ya mwigulu kuna viti kama vya baa, hili tukio limefanyika sehemu ya starehe? I mean Bar au Hotelini? Pia nimeona kitu kama swimming pool
Hapana, corona hawachukui sampuli ya damu, bali ute ute wa puani au wa kwenye kooHv hizo sampuli za papai zilizopelekwa maabara zilikuwa kwenye damu au kwenye nini. Maana nadhani sampuli zote ziwe ni damu.
Yawezekana papai ikawa na damu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifunguliwa mashtaka ya uhaini utasema unaonewa?Mzee anavyoongea utadhani yeye sio Rais wa hii nchi.. yaani as if yeye ni mpinzani yuko anaikosoa serikali ya nchi ili apewe madaraka yeye.
Sasa huo utopolo wa maabara, hio si maabara ya serikali na yeye si ndio Rais sasa anatulalamikia sisi tumsaidie nini?
Jamaa kama nchi imemshinda aniachie hata mimi.
And stay chato mr presidentHahaha akanywa na maji, nilishtuka,
Stay safe Mr. President.
Duh...!.Kuna mtu ana matatizo makubwa ya akili, tumuwahi
Acha shobo... sasa wewe ni Melo.. Melo hajasema aliyeenda mahakamani unakuja kulialia weweUkifunguliwa mashtaka ya uhaini utasema unaonewa?
Muwe na kiasi katika hizo bakuli zenu, hamu umii kuona wenzenu wakina Melo wakienda mahakamani kwa ajili yenu?
Nimekuuliza ukifunguliwa kesi ya UHAINI utasema unaonewa?Acha shobo... sasa wewe ni Melo.. Melo hajasema aliyeenda mahakamani unakuja kulialia wewe
Wewe unawashwa na nini kama nikionewa au nisipoonewa.. kama nimevunja katiba si uende ukafungue kesi au siku hizi mtu akifanya kosa anaulizwa kwanza kama anasema ameonewa au la.Nimekuuliza ukifunguliwa kesi ya UHAINI utasema unaonewa?
Mkuu Chakochangu, kiukweli kuna mambo mazuri sana ya rais Magufuli, that makes sense, kiukweli mimi nimemkubali sana Magufuli na baada ya Corona naendelea kumsaka Polepole.Hapa pana point kubwa sana.
Wafiwa wamzike ndugu yao walipoamua .lakini iwe chini ya usimamizi wa serikali.
Siyo kulazimishwa na serikali mahali pa kuzika.
Mkuu kumbuka aliyesema ni rais? Rais anatuambia kuwa serikali anayoiongoza haiwezi ikafanya chochote Cha maana kwa watanzania unless niwe kinafanywa na Magufuli mwenyewe otherwise kitakuwa madadu matupu so tusikiaminiIsije kuwa ni mwendelezo wa kumislead wananchi na kuwapa matumaini hewa ili wasiamini vipimo vinavyotolewa na maabara.
Maabara yetu ni Biosafety Lab level 3. Haiwezi kuwa na madudu hayo anayosema. Hiyo sio maabara ya Huruma dispensary kule Bagamoyo au Isimila iringa.
Huyu jamaa sio wa kumwamini kabisa.