Tatizo hawapi ushirikiano WHO tutaisha kwa ujuaji
Mkuu unajua kuwa huyu mtu unauyemuamini sana ndo mwajiri namba moja? Je hao wafanyakazi waliomwambia papai lina corona bado wapo kazini? Je hivyo vifaa vinavyoonesha papai lina corona bado vimo ndani maabara ya taifa na aliyependekeza vinunuliwe bado yupo kazini?Kwamba tunaimiliki wenyewe siyo sababu ya kuamini matokeo yake yote hata ambayo hayaingii akilini! Papai kuwa na corona kwa ndani wapi na wapi?
Kwa huyu mweshimiwa! Wana JF tujitahadhari kushare issues za corona. I'm smelling a very big rat.Waziri mteule wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba ataapishwa leo saa 4:15 katika Ikulu ndogo ya Chato.
Tukio zima litaongozwa na Rais Magufuli.
Up dates;
Mwigulu amepewa majukumu ya kupambana na Corona kisheria
Source Clouds tv
Bora tu hao mabeberu wawepo ili tupate pa kurushia lawana hata kama ni uzembe wetu.Hatuwezi kuwasikiliza makuwadi ambao wanatumiwa. Kama unakumbuka November walisema tuna Ebola wameishia wapi? WHO ni pandikizi la Mabeberu.
Nimeivutia picha hydraulic oil, gear oil na engine oil zote mpya nashindwa kuelewa. Kwa vyo vyote vile kwenye ile pamba ya kuchukulia sample oil ingesambaa mpaka kwenye kile kijiti cha plastic! Na hata rangi wale technicians wangestukia.Inapozungumziwa oil unaelewa nini mkuu?
Maana usijekuwa unaivutia picha ile nyeusi?
Kwahiyo hakuna Corona?Hatuwezi kuwasikiliza makuwadi ambao wanatumiwa. Kama unakumbuka November walisema tuna Ebola wameishia wapi? WHO ni pandikizi la Mabeberu.
Tauni ipi unayozungumzia?Mamluki huwa wanatumia vipenyo kama hivi,yaani wakati wa tauni.
Uwezekano upo kwa asilimia.kubwa.
Kwa miaka mingi nilikuwa nasikia kutoka vyombo vya habari magazetini na vijarida jinsi gani mabeberu wanavyotumia ujasusi pamoja na mamluki kuwaondoa wale ambao wanaingilia agenda zao...
hivi sasa vyombo vya habari ambavyo kwa asilimia kubwa hawa jamaa wanahodhi, wana uwezo wa kusambaza habari zinazoleta taharuki na kutumia taharuki hizo kuendeleza unyama wao. Upo uwezekano mkubwa...
...kutumia mianya inayotokea wakati huu kuwaondoa wale ambao ni vizingiti katika kuendeleza agenda zao...mkumbuke hata wakati wa ukimwi ulivyotokea ni jinsi gani Wazalendo na wakuu wengi waliondoka harka haraka...upo uwezekano pia mianya hiyo ilijitokeza nyakati hizo na kuwapunguza wapinzani wao. Sembuse sasa?
Usalama wa taifa ni muhimu sana kwa wakati/nyakati hizi za tauni kuangalia nyendo za hao mabeberu, mamluki, n.k
Mh Raisi anavita nao, Taifa lina vita nao, uhuru wetu na maisha yetu ya baadae yata tegemea uwezo wetu wa kupambana nao sasa.
Mh. Raisi kama ana shuku na hayo, basi kama kiongozi wa Taifa na Wannchi wake najukumu kutumia mikono ya dola, ujasusi, na mengineyo kuyaomdoa mawezekano ya "sabotage' ni haki yake, ni haki ya taifa lelote linalojali wananchi wake.
Hivyo basi, kumteua Waziri wake muhimu katika vita hivi kwa haraka na na kugusia uwezekano wa kuingiliwa na hata kutumiwa na mabeberu katika sehemu nyeti kama mahabara ya taifa, I say, he has a valid concern!
Tuache hofu, tufuate utaratibu unaoeleweka, tuchukue tahadhari, vile vile tumwangalie nyoka yule kwenue fimbo ma kumwomba mungu.
Aluta Continua.
Nmekuelewa mkuu.Nimeivutia picha hydraulic oil, gear oil na engine oil zote mpya nashindwa kuelewa. Kwa vyo vyote vile kwenye ile pamba ya kuchukulia sample oil ingesambaa mpaka kwenye kile kijiti cha plastic! Na hata rangi wale technicians wangestukia.
Na pengine labda walistuka nao wakaamua kujifanya machizi zaidi kwa kumpa positive. Na mtu kama huyu ili kumfanya asizidi kuwa mwenye michezo ya kitoto unampima naye unampa positiveNimeivutia picha hydraulic oil, gear oil na engine oil zote mpya nashindwa kuelewa. Kwa vyo vyote vile kwenye ile pamba ya kuchukulia sample oil ingesambaa mpaka kwenye kile kijiti cha plastic! Na hata rangi wale technicians wangestukia.
Na
Nani kakuambia kuwa Rais wetu hafanyi kazi? Kutoa maelekezo siyo kazi? Kuteua mawaziri siyo kazi? Kuapisha waziri siyo kazi? Hata
kama haumpendi lakini macho unayo na masikio unayo! Unamwona na kumsikia akifanya kazi!
ππππππππΆπΆπΆSasa ukiona ya binadamu ikawa positive maana yake na mapapai yote yaweke isolation au mbuzi na fenesi wote wawe isolated.
You are very right!Mamluki huwa wanatumia vipenyo kama hivi,yaani wakati wa tauni.
Uwezekano upo kwa asilimia.kubwa.
Kwa miaka mingi nilikuwa nasikia kutoka vyombo vya habari magazetini na vijarida jinsi gani mabeberu wanavyotumia ujasusi pamoja na mamluki kuwaondoa wale ambao wanaingilia agenda zao...
hivi sasa vyombo vya habari ambavyo kwa asilimia kubwa hawa jamaa wanahodhi, wana uwezo wa kusambaza habari zinazoleta taharuki na kutumia taharuki hizo kuendeleza unyama wao. Upo uwezekano mkubwa...
...kutumia mianya inayotokea wakati huu kuwaondoa wale ambao ni vizingiti katika kuendeleza agenda zao...mkumbuke hata wakati wa ukimwi ulivyotokea ni jinsi gani Wazalendo na wakuu wengi waliondoka harka haraka...upo uwezekano pia mianya hiyo ilijitokeza nyakati hizo na kuwapunguza wapinzani wao. Sembuse sasa?
Usalama wa taifa ni muhimu sana kwa wakati/nyakati hizi za tauni kuangalia nyendo za hao mabeberu, mamluki, n.k
Mh Raisi anavita nao, Taifa lina vita nao, uhuru wetu na maisha yetu ya baadae yata tegemea uwezo wetu wa kupambana nao sasa.
Mh. Raisi kama ana shuku na hayo, basi kama kiongozi wa Taifa na Wannchi wake najukumu kutumia mikono ya dola, ujasusi, na mengineyo kuyaomdoa mawezekano ya "sabotage' ni haki yake, ni haki ya taifa lelote linalojali wananchi wake.
Hivyo basi, kumteua Waziri wake muhimu katika vita hivi kwa haraka na na kugusia uwezekano wa kuingiliwa na hata kutumiwa na mabeberu katika sehemu nyeti kama mahabara ya taifa, I say, he has a valid concern!
Tuache hofu, tufuate utaratibu unaoeleweka, tuchukue tahadhari, vile vile tumwangalie nyoka yule kwenue fimbo ma kumwomba mungu.
Aluta Continua.
HAKUTOA SABABU KWANINI HAYUPO OFISINI KWAKE BADALA YAKE YUPO KWENYE RESORT YAKE AKILA BATA.Kweli kifo kinaogopwa jamani, yaan mzee kaukimbia mji mazima! Daah, we Corona toka baba yetu arudi mjini! R.I.P Mahiga huwezi amini Maderu ndio karithi cheo chako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unasikiliza na kuelewa. Ameambiwa akaangalie kama kuna ishu ya jinai wanasheria wachukue hatua. Mbona mnapenda kugeuza mambo?Waziri wa sheria na mambo ya katiba ameagizwa kwenda kuichunguza maabara ya taifa kwa sababu ina kontrovesio nyingi.
From todayβs speech , I am very sure Corona is over! Once you understand the source of the problem, that means the problem is over!Time will tell,
Tanzania ikiangamia kama marekani kwa vifo na maambukizi,ndo tutajua nani juha na shetani na nani mwerevu na Malaika.
Ombeni hilo lisitokee hapa kwetu,lakini naona kama itakuwa muujiza.
Amen
Kabisa watu wame finance kwenye dawa/chanjo za maabara ambazo zinagharimu mabilioni wewe uje ulete mitishamba yako utakaa sanaDawa za Afrika haziwezi kupitishwa kwa sababu hiyo ni biashara ya mataifa makubwa tu. Wewe kinyago huna mamlaka ya kuuza dawa ambayo itakuwa maarufu.