Asante sana ila kama kwa kutumia akili na mikono yako, ukapata Div. 1 ya pont 7 O level, a level pia, 1st Class 1st Degree, high performance Masters Level na Ph. D kwa kichwa na mikono yako, tupongeze achana na side shows. Tumpe pongezi tuu.Ndio unaweza kubadilisha ila kwa yeye hajabadili jina bali alitumia jina la mtu mwingine kama unajua mambo ya elimu tena mtu akifaulu kama hajaja shule unaonga mwalimu unatumia jina la huyo mtu.
Pole kaka,unataka kusema rais wetu anajua watanzania wote Ni wasomi Kama wewe hata akiongea kwa fasihi na nahau tutamuulewa tu.Kuhusu hicho ulichoekewa wewe,shida ya maabara yetu vifaa au Wataalamu? Na uchachuaji ulianza baada ya hao hao kumwambia Corona ipo nchini na tayari watu 16 wamekufa au ulianza baada ya jamaa kugoma kucopy na kupaste Mambo ya wazungu? Ni hatua gani zimechukukiwa kuhusu uchachuaji huo? Baada ya kutuambia maabara inachachua,ametoa njia nyingine inayoweza kutumiwa na watanzania kupima Kama wana corona?kwa kawaida sample collection inaweza kuwa damu,mate,mafua pia ila hapo hakuwa na mana iyo.ujue ata kwa akili ya kawaida tuuh Ni ngumu virus wa corona kumultipley in plant cell na papai kuadhirika
Kwaiyo unadhani alimanisha kuwa papai Ni halali kuwa na corona? open your mind Apo ana manisha Kuna tatizo in our laboratory test iyo ndio mana halisi huwenda Kuna upikaji wa samples report
tufanye hayo yote tukichapa kazi.Ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, kaa umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu. Piga 199 au *199#. Ukiwa nje ya nchi piga 0800110124
"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
tatizo unasoma kwa mhemko, kuna vitu kadhaa vya kumuambia sio kumbadilisha anachofanya. usiwe na mhemko hivyo.kijana.Ukamshauri nini Sasa Wakati kila anachosema unaona yuko right ??
I'm on that good kush and alcohol
Nasikia siku hizi hata selasin pia wanachat na malaika whatsappWasiliana na Mbatia,huwa wanawasiliana kwa meseji na Mkubwa
Eti malaika [emoji38][emoji38][emoji38]Nasikia siku hizi hata selasin pia wanachat na malaika whatsapp
Huyu lazima,si ameshaunga mkono juhudi?Nasikia siku hizi hata selasin pia wanachat na malaika whatsapp
ntampataje mheshimiwa mbatia ngoja nijaribuWasiliana na Mbatia,huwa wanawasiliana kwa meseji na Mkubwa
mbona una mhemko mkuu, unadharau elimu ndogo ??Sasa umeandika nn mzee??
MATAGA mnashida Sana nan akupe access na rais ww? Na Elimu yako ndogo
Sent by IPhone
naomba uni connect na Mh Mbatia ikiwezekana.Wasiliana na Mbatia,huwa wanawasiliana kwa meseji na Mkubwa
Wala sio mambo ya dawa, mimi nahitaji ANITEUE tu niwe karibu naye, kwa mambo mbalimbali, naamini nitajifunza mengi kupitia yeye na pia naye atajifunza mengi kupitia mimi na elimu yangu "ndogo"Mkuu najua utafanikiwa azma yako... Ila ukifanikiwa kuwa karibu na mkuu msaidie ushauri hasa hasa kwenye matumizi ya "dawa zake zile"...
Pale ndipo panapoyumbisha dishi zima...