Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Magufuli analeta mawazo ambayo yapo huko duniani

Regardless matunda, wanyama wanashambuliwa na corona

Magu anataka kuiaminisha dunia hasa africa kuwa tunachezewa
Lkn namwambia magu kama unavyocheza na wenzako nao wanaweza kukuchezea, lkn kama rais usiamini speculation always be impartial
 
Watanzania tusimame imara, Corona kweli ipo, lakini tusimame imara, tusitishwe.

Sio kila anayekufa ni Corona!. Jaji Mkuu Mstaafu amekufa kwa cancer na sio Corona!.
P
Huu Ni ukweli tatizo BAVICHA Ni matomaso

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?!.
Rais Magufuli amemshangaa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kutangaza kumzika Evod Mmanda Mtwara badala ya kwao Moshi, akauliza kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao?!. Rais akasema hata kama ni kweli mtu amekufa kwa Corona, kwanini mwili usihifadhiwe vizuri na PPE kisha ndugu zake wapewe mwili wa ndugu yao wakazike?!.
P
 
Idadi ya waliofariki kwa Corona bado ni 16, wananchi tuchape kazi jamani!
 
Kuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?.
Kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao!.
P
Izi zote Ni point tatu za muhimu zoteee

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Rais Magufuli amesisitiza Tanzania vifo ni watu 16 tuu!. Kuna mtu alishauri tufunge masoko!. Watu wakanunue wapi vyakula. Msipelekwe na mihemuko ya watu short sighted!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…