Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Kuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?.
Kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao!.
P
Kwa sababu serikali yake imeamua kututisha,yaani Magufuli anachoongea na kinachofanywa na serikali anayoiongoza ni vitu viwili tofauti. I think Kati ya Magufuli na serikali Kuna mmoja hayupo Tanzania
 
Amsisitiza Mwigulu akafanye kazi, anajua kutakuwa na maneno!, usisikilize maneno, kapige kazi!.
P
 
Akihutubia kwenye sherehe za kumuapisha waziWa mpya wa Sheria na Katiba, ndugu Mwigulu Nchemba, Rais amesema atatuma ndege Madagascar kuleta dawa ya kupambana na Coronavirus.

Mbali na hayo pia Rais ameelezea namna ambavyo maabara ya kupima Corona ilivyojaa madudu.

Kuna sampo mbalimbali, zikiwemo za mbuzi, kondoo, papai, na mafenesi zilitumwa kwa Siri maabara na Kati ya sampo hizo zipo zilizoonyesha kuwa zimeathirika na Coronavirus.

Amekazia kwenye kuishinda hofu na kutoogopa.
 
Mkuu Mwambie Mheshimiwa Maghufuli Kuwa Sisi Sector ya Utalii Tunateseka Kutoka Mshahara wa Mwezi Hadi wa Siku Tuko Hali Mbaya. Atoe Fungu kwa ajili Yetu. Aondoe Madeni Ya Kodi wakati Huu. Bili Za Umeme wa Viwandani Zipunguzwe.

Kampuni ziwe Funded Ziweze kutulipa wakati Huu.
Hana akili hio.

Na sidhani kama anajua kuwa kuna sekta ya utalii.

World Bank na IMF wanatoa pesa kibao za kuwasaidia waliokosa kazi ila wanataka uhakika kuwa pesa zitafika.
Magu ana roho mbaya anaona bora hio pesa isije tu
 
Hofu ni kitu kibaya sana!. Kuna watu wamekufa kwa hofu tuu, awataka viongozi wa dini wasitupotoshe.
P
 
Hii ndio raha ya kua na kiongozi mwenye uwezo mkubwa kichwani safi Sana Magufuli.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hivi sampuli ya kupima corona huwa nini? Kama ni damu papai pia lina damu?
 
Mbali na hayo pia Rais ameelezea namna ambavyo maabara ya kupima Corona ilivyojaa madudu.
Kuna sampo mbalimbali, zikiwemo za mbuzi, kondoo, papai, na mafenesi zilitumwa kwa Siri maabara na Kati ya sampo hizo zipo zilizoonyesha kuwa zimeathirika na Coronavirus.
KWA HALI HII KWANINI TUSIISHI KWA HOFU??!
 
Back
Top Bottom