Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Hiyo dawa jamani inatibu je ana ushahidi kama inatibu!!! Vipi kuhusu side effects??

Kama ni dawa kweli basi ni jambo la heri
 
Kuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?.
Kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao!.
P
Kuna maswali mengi sana ambayo yanahitaji majibu.

Huu mhimili wa 4 (vyombo vya habari) ungekuwa huru, naamini majibu yangepatikana.
 
Hofu ni kitu kibaya sana!. Kuna watu wamekufa kwa hofu tuu, awataka viongozi wa dini wasitupotoshe.
P
Hiyo hofu nae itakuwa imeshampata,wewe unadhani mzalendo number moja kushindwa kwenda kwenye mazishi ya mfanyakazi wake na mjumbe wa Baraza lkumshauri ni mchezo? Hii hofu asipotafuta kuishinda mniambie
 
Mwenye akili ayaskia, Tafuteni video msikilize
 
HIYO DAWA JAMANI INATIBU JE ANA USHAHIDI KAMA INATIBU!!! VIPI KUHUSU SIDE EFFECTS??
KAMA NI DAWA KWELI BASI NI JAMBO LA HERI
Angalia takwimu za ugonjwa huo nchini Madagascar, hawana lockdown wala nini!
 
Ila Kama inatibu inabidi tuipe support Madagascar siyo kila kitu wazungu
 
Mungu Ni mkubwa ,nimesikia live ,mubashara ...Rais anasema ,tumeshaishinda Korona.
Hii Ni katika hotuba ya kumwapisha Mwigulu Nchemba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…