Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Vp ikulu ndogo ya chato bado inapiga kazi?
Ikulu ndogo ni nini, ikulu ndogo au kubwa anaishi/ana kaa nani?
Ni mtu gani mwenye hadhi ya kukaa ikulu?
Pengine tuulizane kwa kupanua swali lako ili kuwa objective,
Je, Butiama au Lupaso kuliwahi kuwa na ikulu ndogo na bado zinafanya kazi sawia na msingi wa swali lako??
 
Waziri mteule wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba ataapishwa leo saa 4:15 katika Ikulu ndogo ya Chato.

Tukio zima litaongozwa na Rais Magufuli.

Up dates;
Mwigulu amepewa majukumu ya kupambana na Corona kisheria

Source Clouds tv
Mawaziri walikuwa wanaapishwa Chato?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom