Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Tunaitaji rais smart.. Sio kama yule mgonjwa wa jana aliyeshindwa kushika ata karatasi.

na ni marufuku kumtaja jina ...jina lake tunamwita ''yule wa jana''....hafai kabisa ule mzee alichemsha sana
 
Kati ya watangaza nia wote mpaka sasa mwingulu ndo sifuri kuliko wote.

Anaongea kama KIKWETE anavyoongea ktk vikao na wazee wa dar.
 
Mwigulu kasindikizwa na Juliana???hatutaki rais mgoni
 
Tunaitaji rais smart.. Sio kama yule mgonjwa wa jana aliyeshindwa kushika ata karatasi.

..ina maana hamumtaki hata JK?

..wagombea wa chama tawala hawapaswi kukashifiana wenyewe kwa wenyewe, au kumkashifu raisi aliyeko madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…