Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Sana tu. kama kipimo cha kuchaguliwa ni kuongea, hakika Lameck anastahili kuwa kiongozi wetuhata mimi ameniimpresss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu. kama kipimo cha kuchaguliwa ni kuongea, hakika Lameck anastahili kuwa kiongozi wetuhata mimi ameniimpresss
Teh teh teh teh Mwigulu bana, lakini ndiyo uzuri wa demokrasia.Naona anaelezea umasikini aliokulia.
Anadai alibeba zege na mke wake alikuwa mama Ntile.
Aiseee huku kuna umbea balaa.
Kwani mipasho ipi anaiongelea? Mbona anaongea vizuri tu?Anaanza mipasho,kishaharibu sasa
Aliweka kiti cha Juliana Shonza mke wa Mwigulu akamtoa nduki
Akili ya Mwigulu ni zaidi ya Chadema wote
Acha mbwembwe wewe. Mwache amchane mgombea wenuMwigulu aache mipasho,aseme atafanya nini, ameniboa
kwani tunatafuta rais wa kukariri?