Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Naona anaelezea umasikini aliokulia.

Anadai alibeba zege na mke wake alikuwa mama Ntile.
 
Kweli mke wa Mwigulu alikuwa mama lishe?
 
Hapana siyo Yesu peke yake. Labda hata Biblia husomi umekariri tu.
Hivi hilo jina la Simba wa Yuda hujui hata chanzo chake??

NB: H.I.M (Haile Selassie) naye alikuwa akiitwa simba wa Yuda. Je naye alikuwa Yesu??

Mi ninayemjua ni Yesu pekee yake. Hao wengine hawakua na mamlaka wala uweza ka wake wa Kiuungu.
 
Jina lenyewe sio lake asije akawa rais WA kwanza afrika anayetumia jina LA MTU mwingine kwanza mwenyewe amaweza akaibuka kulidai wakati anaapishwa,mfano Mimi lameck mwigulu nchemba mwenye jina lake anaibuka,itakuwaje? Yaani wagombea WA ccm ni majanga matupu

Hahahaaa kula like kubwa
 
Huyo alishindwa kutuambia nani alichukua pesa kutoka stanbic? Ndo urais ataeza
 
yule wa jana hata kugeuza shingo alikuwa hawezi kabisa................na anapondwa kweli leo hapa
 
Back
Top Bottom