Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mwigulu hatuelezi sera zake jamani? Au bado? Hizi stori zake za maisha yake kwa sasa hazitusaidii.
Haya nimeona. Ni udhaifu na si ushaifuUshaifu...
Huyu jamaa yuko vizuri sana ana kalba ya uongozi, hafanani ata kidogo na yule aliyekuwa anasoma kila kitu mpaka ccm oyeee.
Ndiyo ukizingatia njia zilizokufanya kutoka kwenye umaskini bila ufisadi na RushwaHivi kutokea kwenye background ya kimasikini ndo kunakufanya uwe kiongozi bora..?
Hapana siyo Yesu peke yake. Labda hata Biblia husomi umekariri tu.
Hivi hilo jina la Simba wa Yuda hujui hata chanzo chake??
NB: H.I.M (Haile Selassie) naye alikuwa akiitwa simba wa Yuda. Je naye alikuwa Yesu??
Jina lenyewe sio lake asije akawa rais WA kwanza afrika anayetumia jina LA MTU mwingine kwanza mwenyewe amaweza akaibuka kulidai wakati anaapishwa,mfano Mimi lameck mwigulu nchemba mwenye jina lake anaibuka,itakuwaje? Yaani wagombea WA ccm ni majanga matupu
Huyo amechoropoa mimba mingi sana za Mwigu mpaka hawezi kuzaa tena
Ndani ya CCM ni Lowassa na Mwigulu tu ndo angalau, natamani sana nione serikali ikiongozwa na Lowassa kama Rais na Mwigulu kama Waziri mkuu.