Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Anasema kukaa sana serikalini hakutoshi kuwa kigezo cha kuwaongoza Watanzania kwani unaweza ukakaa sana lakini ukalisababishia hasara kubwa taifa
 
kukaa muda mrefu serikalini huenda ukawa unaisababishia serikali hasara


cc Mafisadi wote
 
Point... 'Unaweza kukaa sana serikalini lakini ukasababisha hasara kubwa kwa taifa'. Hii ni kweli kabisa
 
Kukaa serikali muda mrefu siyo kigezo cha kugombea uraisi kwani unaweza madarakani kwa muda mrefu ukawa umelipa taifa hasara .hapa lowasa anaguswa
 
Jamani namsikiliza Mwigulu hapa hotuba yake kaanza kienyeji bila kuzingatia Itifaki,zaidi haeleweki anachoongea.
 
kukaa sana serikali si sifa ya kukumbukwa bali umefanya nini serikaliniCC: Wasira. :becky::becky:waendelee kuchapana tu, ukawa wanasubiri wawavuruge.
 
Back
Top Bottom