Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Tunaitaji rais smart.. Sio kama yule mgonjwa wa jana aliyeshindwa kushika ata karatasi.
na ni marufuku kumtaja jina ...jina lake tunamwita ''yule wa jana''....hafai kabisa ule mzee alichemsha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaitaji rais smart.. Sio kama yule mgonjwa wa jana aliyeshindwa kushika ata karatasi.
Mkuu hapo ndo utajua ni kwa kiasi gani wasomi wa Tanzania wanavyotumika kuzuia mabadiliko ya kweli kwenye nchi hii
Huyo alishindwa kutuambia nani alichukua pesa kutoka stanbic? Ndo urais ataeza
mchemba anatakiwa amuunge mkono El after ten years aje agombeee
Halafu huo mwaka ukiisha?
Tunaitaji rais smart.. Sio kama yule mgonjwa wa jana aliyeshindwa kushika ata karatasi.
usinivamie sitabiriki mwenzioUna mahaba na mwigulu.
So far kawapiga bao wote waliotangaza nia,now I can proud stand and say MWIGULU FOR STATE HOUSE
Unanifurahisha sana mkuu. Dr Slaa hapa anahusikaNa ukipora mke wa mtu na kumpa mimba unapata uhalali wa kugombea urais?
The gay is smart.
usinivamie sitabiriki mwenzio