immasoft
Senior Member
- Mar 2, 2011
- 188
- 127
duh Mwigulu anadai yeye na mke wake walikuwa na sehemu ya mama lishe na ilikuwa shida sana kabla hajapata kazi kwa hiyo anatuaminisha anajua matatizo yetu ya ajira.Mbona hawatelezi watayatatuaje kazi ni kueleza tu kwamba wanaua shida zetu so what na wala sio kutangaza nia that is a campaign speech lo am not empathy by his speech for real hawa vijana wana safari ndefu