Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Huyu hana historia ya Rushwa,na hakuna fisadi aliye nyuma yake,hivi Lowasa anaweza wafikisha mahakamani kina Chenge kwa mfano?

Lowasa hatutakiwi hata kumtolea mfano wa kiongozi.kijana anaongea vizuri akipata nafasi anaweza kufanya jambo tatizo lichama la ccm bado wajinga ni wengi.kwa mfano assumpta mshama nimemuona leo hapo na kama unavyojuwa huyu mama alihongwa kuwatetea mafisadi wa escrow.mtu kama huyu Mwigulu kumleta kwenye mkutano wake ni kujichafua.watu kama hawa ni wa kutengwa.
 
Maswali sasa yanaanza kuulizwa, sijui nani wameandaliwa kwa maswali
 
naibu katibu mkuu wa chama analialia kama vile ndo leo kaingia kwenye chama,hajasema hata moja alilofanya zaidi ya kusema nipo kwenye chungu nayajua haya,KWANI ULIPELEKWA HAZINA KUPELELEZA

Anasema ukweli mchungu, ila siamini wanasiasa wa ccm lao moja ngoja tusubiri nani atapitishwa ili ukawa wawaangamize.
 
ITV vipi tena mbona wamekata matangazo??
 
Wanachagua aina ya maswali ya kuuliza ,kwani swali la msingi unalipimaje
 

Umehama kwa white hair?
 

MaDJ wa LowerSir walichaguliwa bila kuulizwa kwamba wanatoka upande gani...
Wengi wao wanatokea UKAWA.
Duh wale ma Dj ni makada wa ccm bhana jana walikuwa wamelewa viroba
 
Maskini Komba nyimbo zake zinavuma wakati ameshakufa hata jana Lowasa aliomba apigiwe wimbo wa komba lakini Dj hakupiga kabisa.

Acha kuandika vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Wimbo wa Komba aliouomba Lowassa ulipigwa. Watanzania tusipende kutoa hoja kurupushi
 
ccm ni basi bovu, abiria (watz) lazma tujue ya kuwa basi bovu halisukumw ukiwa ndani mana halitakwenda na pia halisukumwi ukiwa nje maana utakuwa unatembea kwa miguu, cha kufanya ni kushuka, kumbana konda arejeshe nauli kisha unapanda basi jingine ambalo ni zima
 

I have to say the standard Lowassa set was rather low. It's like running 100M in 30seconds and say i have given Usain Bolt a high standard to beat.
 
naibu katibu mkuu wa chama analialia kama vile ndo leo kaingia kwenye chama,hajasema hata moja alilofanya zaidi ya kusema nipo kwenye chungu nayajua haya,KWANI ULIPELEKWA HAZINA KUPELELEZA

Mwigulu kadhibiti mishahara hewa, nafikiri ilo kalifanya kwa ujasiri mkubwa.. Vijana wa lowassa mpeni credit bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…