Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wewe uko upande gani kisiasa??
Subiri nitakuambia baada ya mchakato kuisha na kila upande kuchagua candidates wao wa kuwakilisha vyama vyao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko upande gani kisiasa??
tena uwaziri mkuu.
Endelea kujitoa ufahamu jana Lowasa alipoomba wimbo wa komba kumekucha ulipigwa?acha upotoshaji.Acha kuandika vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Wimbo wa Komba aliouomba Lowassa ulipigwa. Watanzania tusipende kutoa hoja kurupushi
Safiiii, mambo yameanza kunoga sasa.
Kwa mara ya kwanza Mwigulu nimempenda...
Subiri nitakuambia baada ya mchakato kuisha na kila upande kuchagua candidates wao wa kuwakilisha vyama vyao.
Ndio yeye, eti wanaringa ringa na Mwigulu!
Ndo maana nikasema kama idea zake akiziweka kwenye matendo kweli kwa mfano kupunguza matumizi,kuvaa vya pamba ya kwetu.Nimemsoma THOMAS SANKARA kiukweli sijaona mfano wake,maana mawaziri walipanda economy class kwenye ndege,na mengine kibao katika kupunguza matumizi
Maigizo Ya El baado yanaendelea mtalipiana mpaka Airtime lakini Ukawa ndio Habari ya Mjini
Ndugu muda bado hahahaa tusubiriane kidogo
Simaanishi Juliana.. Aliuliza wale watoto pale high table ni wa nani
Mwigulu kadhibiti mishahara hewa, nafikiri ilo kalifanya kwa ujasiri mkubwa.. Vijana wa lowassa mpeni credit bana.