Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Kauli yako inasema Lowassa aliomba wimbo wa komba DJ hakupiga hata mmoja. Hiyo kauli ni ya uongo. Sababu wimbo mmoja wa komba ulipigwa ingawa ulikuwa unamnadi Kikwete kama mgombea. Tatizo ni lilelile unakurupuka. Ili uwe mzungumzaji mzuri kuhusu wenzio ni lazima pia uwe msikilizaji wa Yale wanayoyasema wenzio. Vinginevyo utakurupuka tu.Endelea kujitoa ufahamu jana Lowasa alipoomba wimbo wa komba kumekucha ulipigwa?acha upotoshaji.