Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

As much as I hate CCM to the bone, ila Mwigulu hayo anayoyaongea ni ukweli mtupu na yanatoka moyoni mwake,haigizi kama wengi mnavyodhani.Mnakumbuka wakati wa Bunge la Katiba alipoishauri serikali kuahirisha mchakato wa katiba ili kuokoa fedha zitakazopotea bure?Alikuwa peke yake aliyetaka mchakato usimamishwe mpaka pale muafaka utakapopatikana.The guy is a real deal but the problem is his party, it will never award him a Presidential candidacy kwasababu tayari old guards wanaofahamu misimamo ya Mwigulu.Anaweza kuwapeleka wengi magerezani.Hata JK mwenyewe hawezi kukubali kuona Mwigulu anakuwa rais,anajua yanayoweza kuja mbele.
 
Leo nimemsikiliza Mwigulu akitangaza nia, amejinasibu kwamba anataka kuleta mabadiliko makubwa, ameongea kwa mpangilio mzuri kama vile sio mwana ccm.

My take: hatuna tatizo na mtangaza nia yeyote ila tuna tatizo na mfumo wa serikali ya ccm.

Back Tanganyika.
 
Teh teh kwahiyo mnapeana sana za uso eeh.. Huko tutakuja tu lakini maana huku ni pasua kichwa tu

Bora kule kuliko huku, huku mnapeana punches za maana bwana...
Kule ni mtakuja hakuna asiyekuja kule.
 
Hahaaaa ukipita kila mkoa utaona sehemu zimeandikwa MWIGULU RAIS na WASSIRA WAZIRI MKUU. Kama ndio hivyo basi leo protocal imezingatiwa maana ameanza na waziri mkuu then Rais
 
acha porojo mkuu hizi mbwembwe hata ngeleja nae atasema hivihivi ,kwani enzi za baba Rizi hukuwa umezaliwa eeh
Jamaa ni threat sana kwenu vijana wa lowassa, anaongea maisha ya waTanzania.. Lowassa alikuwa anaongea utajiri wake na rafiki zake eti ndio utasaidia wananchi. Lowassa kapigwa ngumi ya chini ya mkanda leo.
 
Haya maswali mbona kama yameandaliwa? Hamna jipya......
 
Mwigulu anatudanganya bure yeye hana uwezo wa kupambana rushwa ndo sera ya chama chake.
 
KWELI KABISA,ILI UWEZE KUPAMBANA NA RUSHWA,LAZIMA WEWE KWANZA USIWE MLA RUSHWA by MWIGULU NCHEMBA sokoine wa karne ya 21.Well said
 
Back
Top Bottom