Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Niko pamoja nae, ila wewe umeshajua niko wapi na iwe siri yako.
Nitakucheka sana.. Mi nakungoja tu kwenye kona hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko pamoja nae, ila wewe umeshajua niko wapi na iwe siri yako.
Ameboa sana kama wale Madj wa Lowasa jana
Mbona Mwigulu anatetemeka sana kutokana na hayo maswali? Naona anavuta pumzi kwa taabu.
Huyo nae namsubiri aongee,kwa hawa walioongea tayari MWIGULU ANAFAAKuna mwamba unaitwa Prof. Mark! Ushausikia?
Nilivyomsikiliza Mwigulu Nchemba kaongea mambo mengi ya msingi ana uwezo wa kuongoza taifa letu anamzidi kwa mbali Dr.Slaa nawashauri UKAWA chaguo letu ni Mwigulu.
Teh teh kwahiyo mnapeana sana za uso eeh.. Huko tutakuja tu lakini maana huku ni pasua kichwa tu
Huyu MC Ni BIBI au mbona haeleweki
Jamaa ni threat sana kwenu vijana wa lowassa, anaongea maisha ya waTanzania.. Lowassa alikuwa anaongea utajiri wake na rafiki zake eti ndio utasaidia wananchi. Lowassa kapigwa ngumi ya chini ya mkanda leo.
Huyu MC Ni BIBI au mbona haeleweki
Hotuba ya madelu ni nzuri kushinda ya Mzee wa safar inayolipa
Huu mkutano una warembo!
Sijui wametoka wapi.
Huu mkutano una warembo!
Sijui wametoka wapi.
Hakika Mwigulu ni kiboko ya Slaa...
Anazuga, hayo maswali katengeneza yeye, anajibu yeye.