Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Ile kofia ya Generali wa Kichina aliitupa wapi? Jamaa ana matatizo ya akili.
Amesahau nyumbani hizo skafu zina maana gani au uzalendo upo kwenye skafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kofia ya Generali wa Kichina aliitupa wapi? Jamaa ana matatizo ya akili.
Kwa Nondo hizi Padri slaa kamwe hagusi ikulu...labda akaombe kugombea Urais wa ma Padri wastaafu Tanzania....
kapigwa bonge la swali kama waziri wa fedha na fedha inazidi kuporomoka ,
Hili la kuiba mali za uma na kujisifia kuwa wewe ni tajiri....nadhani mwigulu anamchokoza mzeeee
Aaàaahh umeshawahi kumwona laki si pesa kule teh teh
hahahahahahha Wabongo mmepinda !
Safi sana, huyo jamaa aliyeuliza hilo swali la kushuka thamani hongera zake.
amwshasema inabidi tutoke kwenye mfumo tegemeziHili suala la kushuka kwa shilingi nilikuwa nahitaji sana majibu.atueleze immediately actions ya kuokoa shilingi sasa.kusubiri ajenge viwanda siyo leo.
Demand and supply watu wa ECA mpo?
Mbona anakujaga sana tu? Subiri siku akija nitakuita umuone.
Kuna siku nilimuona anachapwa huku balaa mara nikamuona kule kwetu, nilichekaje?
Pinda naye anatangazia lini ?Nasubiri Pinda