Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Huyu aliyeuliza swali la shilling yetu kushuka kauliza la maana sana.
 
Du! Sasa nimeelewa kwanini taasisi zote za serikali hazina fedha,kumbe
fedha ziko mifukoni mwa watu kwa shughuli ya kujitangaza!
EL tunasema ni fisadi na ananunua watu kwa pesa,
yeye si waziri wala nini,Hivyo uwezekano wa kuwa anatumia fedha ya serikali au gari za serikali ni kidogo.
sasa hawa mawaziri wanaotangaza nia kwa gharama kubwa
fedha wamezipata wapi, wakati serikali haina pesa?

Kwa nini kama wanaielewa hali halisi ya uchumi wa nchi
wasingeitisha mkutano mmoja,wakatangaza nia
ili kuokoa fedha inayotumiwa na kila mmoja kwa wakati wake
huku wote ni chama kimoja,wote wanavaa unifomu moja kijani,
lakini kutangaza wanasambaa mikoa tofauti tofauti na kuhamisha washabiki
kutoka mikoa ya mbali kwa gharama kubwa ya chakula na malazi?

Yangu macho,lkn najifunza kwamba nchi ni masikini
ila watawala ni matajiri.
 
Hili suala la kushuka kwa shilingi nilikuwa nahitaji sana majibu.atueleze immediately actions ya kuokoa shilingi sasa.kusubiri ajenge viwanda siyo leo.
 
Safi sana, huyo jamaa aliyeuliza hilo swali la kushuka thamani hongera zake.

Bahati nzuri huyo jamaa hapo mbele ni moto wa kuotea mbali hakupata sifuri kama Mwenyekiti wa chama chetu!
 
anatoa majibu ya vijiweni kumsingizia raisi wa UGANDA sababu ya kushuka thamani kwa pesa ya TANZANIA
 
Hili suala la kushuka kwa shilingi nilikuwa nahitaji sana majibu.atueleze immediately actions ya kuokoa shilingi sasa.kusubiri ajenge viwanda siyo leo.
amwshasema inabidi tutoke kwenye mfumo tegemezi
 
Mbona anakujaga sana tu? Subiri siku akija nitakuita umuone.
Kuna siku nilimuona anachapwa huku balaa mara nikamuona kule kwetu, nilichekaje?

Hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha umenichekesha sio kidogo
 
Mwigulu angetakiwa kuwa CHADEMA. So far ndio aliyeni impress.
 
Back
Top Bottom