Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Sawa mwanangu nimekusikia.Sio wao tu, mi nilipofika Mzumbe Un. Watu wa BBA BPA BAF wote tulisoma ECO 100 chini ya injini moja inaitwa Kuzirwa, Prof.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mwanangu nimekusikia.Sio wao tu, mi nilipofika Mzumbe Un. Watu wa BBA BPA BAF wote tulisoma ECO 100 chini ya injini moja inaitwa Kuzirwa, Prof.
Demand and supply watu wa ECA mpo?
mchumi grade one anatoa shule hapa,safi sana MWIGULU
hajajibu anapiga tu siasa.
mchumi grade one anatoa shule hapa,safi sana MWIGULU
mbona huu ushauri hajawapa wenzake huko madarakanimchumi grade one anatoa shule hapa,safi sana MWIGULU
jana hakukuwa na maswali mkuuWell said on Shilling vs Dollar. I wish hilo swali lingeulizwa jana.
Hivi kumbe kuna watu wanaitwa Mbowe na LEMA,asante kwa kunikumbusha nilishawasahau long time.Kusema ukweli hotuba ya leo ilikuwa shule toshaHakika Kama Mbowe na Lema wamesikiliza basi wamejifunza kitu..
Sawa mwanangu nimekusikia.
Kwa nini jana pale stadium mlileta ambulance?
bado Pinda na Anna makindaKati ya walio tia nia wa ccm huyu Mwigulu nampa namba moja.
Bahati nzuri huyo jamaa hapo mbele ni moto wa kuotea mbali hakupata sifuri kama Mwenyekiti wa chama chetu!
bado Pinda na Anna makinda
Slaa kagombea mara moja tu ..... Lowasa mara tatu tena katika ngazi ya chama!!
As much as I hate CCM to the bone, ila Mwigulu hayo anayoyaongea ni ukweli mtupu na yanatoka moyoni mwake,haigizi kama wengi mnavyodhani.Mnakumbuka wakati wa Bunge la Katiba alipoishauri serikali kuahirisha mchakato wa katiba ili kuokoa fedha zitakazopotea bure?Alikuwa peke yake aliyetaka mchakato usimamishwe mpaka pale muafaka utakapopatikana.The guy is a real deal but the problem is his party, it will never award him a Presidential candidacy kwasababu tayari old guards wanaofahamu misimamo ya Mwigulu.Anaweza kuwapeleka wengi magerezani.Hata JK mwenyewe hawezi kukubali kuona Mwigulu anakuwa rais,anajua yanayoweza kuja mbele.