Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Endelea kujitoa ufahamu jana Lowasa alipoomba wimbo wa komba kumekucha ulipigwa?acha upotoshaji.
Kauli yako inasema Lowassa aliomba wimbo wa komba DJ hakupiga hata mmoja. Hiyo kauli ni ya uongo. Sababu wimbo mmoja wa komba ulipigwa ingawa ulikuwa unamnadi Kikwete kama mgombea. Tatizo ni lilelile unakurupuka. Ili uwe mzungumzaji mzuri kuhusu wenzio ni lazima pia uwe msikilizaji wa Yale wanayoyasema wenzio. Vinginevyo utakurupuka tu.
 
Mtu aliekaa sana madarakani ni mtu aliesahau shida za watanzania/ kwa hiyo wasira hafai.
Kiujumla mkuu ,,waliokaa sana madarakani ni CCM na wamesahau shida za Watanzania/kwa hiyo CCM haifai
 
anamipasho kama yule wanaye mtuhumu kuwa ni BABA YAKE

Jamaa ni threat sana kwenu vijana wa lowassa, anaongea maisha ya waTanzania.. Lowassa alikuwa anaongea utajiri wake na rafiki zake eti ndio utasaidia wananchi. Lowassa kapigwa ngumi ya chini ya mkanda leo.
 
Hotuba ya madelu ni nzuri kushinda ya Mzee wa safar inayolipa
 
Huyu mwanamke wa Staetv ni mpuuzi haswa, anakomaa kuelezea badala ya tumsikilize mhusika. Sijui kashikishwa kiasi gani. Pumbafu kabisa.
Ameboa sana kama wale Madj wa Lowasa jana
 
Wamuulize nani alilipua bomu kwenye mkutano wa chadema soweto tunataka majibu.

Hilo swali Muulize Mbowe maana hadi leo anao mkanda na ndio aliye panga ili kujitafutia umaarufu........
 
Lowasa hana tofauti kabisa na Kikwete,JK alikuwa na timu nzuri sana(Rostam,Makamba,Sita,Salva,Lowasa,Kinana) .Lowasa team yake ndio itakayomwangusha (Tibaijuka,Karamagi,Mahanga,Mlaki,Kapuya,Msabaha,Chenge,Bashe) hawa karibia wote wana scandal za ufisadi
 
Safi sana Mwigulu,watu wanastaafu mara wanapewa madaraka mapya tena ya kuteuliwa,safi sana hili likikomeshwa,MWIGULU unaongea point hadi unanitoa machozi

Wanalipana fadhila mama yangu, ujue kufika ikulu ni mapesa mengi na mikopo, so lazima uniangalie utakapofika humo, mimi na wanangu
 
Hahahahaa, tukitoka huku ni kwetu kama kawaida.
Usijishaue wewe mwenyewe na wenzako wa huku hua mnakuja kupoza stress kule...
Halafu kule tunapumuaje sasa? Mods wamejaa huku kule ban zimekua nadra sana siku hizi.

Teh teh kwahiyo mnapeana sana za uso eeh.. Huko tutakuja tu lakini maana huku ni pasua kichwa tu
 
Hakika Mwigulu ni kiboko ya Slaa...
 
Mwigulu your speech is full of pretentious hit at a dark deed,you are too generalities but only short of substance.
 
Mbona Mwigulu anatetemeka sana kutokana na hayo maswali? Naona anavuta pumzi kwa taabu.
 
Kauli yako inasema Lowassa aliomba wimbo wa komba DJ hakupiga hata mmoja. Hiyo kauli ni ya uongo. Sababu wimbo mmoja wa komba ulipigwa ingawa ulikuwa unamnadi Kikwete kama mgombea. Tatizo ni lilelile unakurupuka. Ili uwe mzungumzaji mzuri kuhusu wenzio ni lazima pia uwe msikilizaji wa Yale wanayoyasema wenzio. Vinginevyo utakurupuka tu.

Ficha ujinga wako hujui chochote Lowasa aliomba wimbo wa komba kumekucha ulipigwa?
 
Back
Top Bottom