Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

hebu tuchague makoo mengine jamani hao kina fulani toka tunasoma siasa miaka ya 80's ni wao tuuuuu! nehi nene na wangine pia waongoze Nchi ....tusichague kwa mazoea


Officially Team Nchemba Mwigulu ........
 
Acha kuandika vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Wimbo wa Komba aliouomba Lowassa ulipigwa. Watanzania tusipende kutoa hoja kurupushi
Endelea kujitoa ufahamu jana Lowasa alipoomba wimbo wa komba kumekucha ulipigwa?acha upotoshaji.
 
CCM ni mafundi wa kuelezea matatizo na umasikini wa watanzania, utadhani chama kingine ndo kilikuwa kinatawala. Mwaka huu hatudanganyiki.
 
Subiri nitakuambia baada ya mchakato kuisha na kila upande kuchagua candidates wao wa kuwakilisha vyama vyao.

hahahaah,,,,,haya bibie, me huku kwa ma ccm sijaona wote walewale.
 

Very eloquent speech from Nchemba. Promise galore (Typical CCM) and he looks very angry as if he isn't part of the current failed system.
 
Ndo maana nikasema kama idea zake akiziweka kwenye matendo kweli kwa mfano kupunguza matumizi,kuvaa vya pamba ya kwetu.Nimemsoma THOMAS SANKARA kiukweli sijaona mfano wake,maana mawaziri walipanda economy class kwenye ndege,na mengine kibao katika kupunguza matumizi

Sio kwamba najipendekeza kwako bibie, ila umesema vema! Matumizi yakipungua tutakuwa na akiba ya issue zingine
 
Maigizo Ya El baado yanaendelea mtalipiana mpaka Airtime lakini Ukawa ndio Habari ya Mjini

Teh Teh kama jimbo la Mtwara mjini hadi sasa mnapigana ngumi hivi kwenye Urais ndio mtaweza?
 
Wamuulize nani alilipua bomu kwenye mkutano wa chadema soweto tunataka majibu.
 
Hotuba yake imejaa madhahifu ya ccm
Mwanzo hadi mwisho wa hotuba.
 
Back
Top Bottom