Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Ha ha ha.. Ati akishinda ataapishwa Dodoma na Serikali itahamia Dodoma..! Huyu jamaa lol..
 
Huyu aliyefumaniwa na mke wa mtu kule Igunga naye ameita viongozi wa dini?
 
Naona anaongea ka hana confidence kabisa. anawahadaa wagogo ati akishinda tu makao makuu ya nchi yanarud dodoma mara moja.
 
Nimempenda Mwigulu,Serikali ihamie Dodoma safi sana,Dar Ipumue sasa
 
Cloudsfm hawarushi, jana walirusha, ndo kusema wao ni team Lowasa.
 
Ni baada ya yeye kutangaza nia akiwa makao makuu ya nchi Dodoma na wenzake kutangazia wakiwa nyumbani kwako.


Minyukano imeanza...
 
Mpaka sasa ya Wasira iko juu zaidi. .... kama ingekuwa sinema.

Bl


uko sahihi....lile jamaa limefunika.....ila yule wa jana walimuuza ..nadhani kwa sasa anajikanda kanda maumivu na anapoangalia wenzake hawa anaona kabisa aliingizwa chaka
 
anamchamba lowasa yeye hajaamua kutangazia kwao kwa sababu ni ishara ya ubaguzi mambo ya kwetu kwetu si mazuri, yeye katangazia dodoma maana ndio makao makuu ya chama, na kama akichaguliwa na kushinda, ataapishiwa dodoma, loooh. wanatwangana kweli.
 
Positive. Ametulia.
Negative. Ameshindwa kuvumilia kuacha kijudge choices za wengine. Nimeona ni mtu anaetamani kupandia migongo ya wengine.
 
Amekosea kwa kuanza anamnanga LOWASSA. Ina maana makongoro akitangazia nia butiama itakuwa kosa?
 
Mara mbili ata ya Lowasa kama CCM wana akili Lowasa hafai kuwa Rais
 
Back
Top Bottom