Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Kama vile ananiteka vileeeee!! Man of my heart.
I wish..... I wish.....

Ila haiwezi CCM.
Na inatisha kwa kuwa anajua kuwa haiwezi na anatudanganya kuwa atabadilisha hio system.
Agenda is okay. Na ndio kilio chetu na tunajua agenda ya CCM ina agenda yake.
Akisustain hii atakuwa rais wetu baadae
 
naibu waziri anataka uraisi

Ameshakujibu, hahaha...Mwl hakuwahi hata kuwa naibu waziri alitokea kufundisha tu lakini mpaka leo anapigiwa mfano, Mwigulu ni kiboko, natamani sana amuunge mkono Lowassa apewe uwaziri mkuu.
 
Watu hatuupendi umaskini yeye anatuhubilia Umaskini. huyu lofa kweli

Sasa kama alikua anakunywa uji inaongea ili iweje hayo ni kawaida kwa Watanzania wengi aongee Sera na ataifanyia Nini Tanzania ka kiongozi. Sera za kuvusha nchi kutoka stage moja kwenda nyingine.
 
Mbowe kazaa nje ya ndoa,weka picha Mwigulu akiwa na mke wa ntu

yaan napenda sana mtu anayejua kuanaylse mambo namna hii.
hivi sijui nani katuloga yaani mtu kaona kusema alikuwa na mke wa mtu igunga ndo point akasahau ata slaa kapora mke wa mtu
mbowe kazaa nje ya ndooa hao sio wazinzi
 
kazi ya rais wa awamu ya tano ndio jambo la msingi, kuepeleka nchi kuwa na kipato cha kati, jamaa huyu kisha ipigia hesabu gass.
 
Mwigulu kampiku yule wa jana ambaye alikuwa anasoma desa aliloandikiwa na akina Apson
 
Gaidi huyu,amekuwa naibu waziri wa fedha hakuna chochote alichofanya,eti hataki kupimwa na yaliyopita
 
Back
Top Bottom