Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Teh teh Lowassa jana kwanini hajakemea ufisadi?? Pale kwenye rushwa alipita fasta bila kurudia maneno haha
 
Lowasa kama kaangalia hizi hotuba za wenzake kuanzia asubuhi atakuwa kajiona ni mtu mjinga sana.
Tena sana Mkuu. Lowasa alikuwa anasoma desa aliloandikiwa na akina Apson. Hawa wenzake wanaongea yale wanayoyaamini
 
Mwigulu wasiwasi wa watu wengi kwako ni kuwabana na kuwanyima pumzi wapinzani kitu ambacho wengi wanadhani wewe utakuwa dikteka wa kwanza Tanzania je hili unalisemeaje??????
 
Hahahahaha Lowassa akiwa Rais wa Tanzania nahama nchi.. Yule goigoi atatuaibisha aisee. Tutakuwa wajinga kuingiza jambazi Ikulu

Let's call it a deal....
Tutakumbushana tu kwa wema baadae.
 
Huyu anachokipinga alikuwa anashiriki kufanya na serikali Yake kama kodi yeye alikuwa naibu Wa wizara ya fedha ndio walikuwa wanapanga bajeti na kusamehe kodi kama ufisadi wizara Yake imeshiriki na chama chake kama ufisadi Wa escrow wizara ya fedha ilishindwa kusema fedha za nani aache kupinga utendaji Wa chama chake ni unafiki tuu
 
Kwa hali ya sasa ililivyo ukija na sera ya kumtaka mtanzania afunge mkanda ili ufufue viwanda si wengi tutakufa kwa msongo wa mawazo, maana maisha yenyewe ni bora kumekucha.

enzi za serikali kurun viwanda zilipita,labda ujamaa urudi
 
Mwigulu haya anayoyaongea kuyatekeleza kwenye Chama cha mapinduzi ni ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom