nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Hapana kuna uongozi usio na kikomo kama Chadema, Cuf.
mkuu vipi ule uongozi wa kulinda na wizi wa maescrow?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kuna uongozi usio na kikomo kama Chadema, Cuf.
Kaolewa mwaka wa 3 huu hakuna watoto.. Alikua anapigwa na mtangaza nia
Mtu anikumbushe akiwa naibu waziri amefanya nini hadi sasa
Tena sana Mkuu. Lowasa alikuwa anasoma desa aliloandikiwa na akina Apson. Hawa wenzake wanaongea yale wanayoyaaminiLowasa kama kaangalia hizi hotuba za wenzake kuanzia asubuhi atakuwa kajiona ni mtu mjinga sana.
Hahahahaha Lowassa akiwa Rais wa Tanzania nahama nchi.. Yule goigoi atatuaibisha aisee. Tutakuwa wajinga kuingiza jambazi Ikulu
Rushwa:Hakuna kuleana tena safi sana bora Mwigulu unarudisha heshima kwenye CCM
ndio keshashindwa hivyo.Ameshindwa hayo ataweza kuipaisha nchi
Sasa anamkaanga Lowasa kwenye ishu ya Rushwa
Kwa hali ya sasa ililivyo ukija na sera ya kumtaka mtanzania afunge mkanda ili ufufue viwanda si wengi tutakufa kwa msongo wa mawazo, maana maisha yenyewe ni bora kumekucha.
Msinitafasiri vibaya nipo nafatilia anachokisema mipango yake ipo vzuri sana katika kuleta maendeleo ya taifa kwa awamu ya tano.Was this deliberately or a mistake!!
Nimependa speech yake, anaongea sense. Sema ccm ni ccm hapa ni kama tunaburudika tu.