Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Mmmh yatatekelezeka hayo jamani? Au tunaombwa huruma ya wananchi? Ukijalia kiti utakumbuka......... Au tutarudi kwenye YALE YALEEE TUPO KWENYE MCHAKATO.....
 
Saa hii ni saa 10:50 ninakuona na kukisikiloza kupitia StarTV. Uko vizuri mkuu na ajenda ya watanzania umeibeba kweli, Watanzania tukupe ushirikiano, ili utuongoze kwa awamu hii ya tano.
 
Kibo 255 kumbuka huyu ni naibu sio waziri sikiliza anachozungumza acha ushabiki
 
Huyu mh. Anavyoponda utawala utafikiri hayupo kwenye system! Mara mfumo mbovu wa kodi wakati yeye ndo incharg.. Maajabuu

Yani anamchana JK makavu. Huyu jamaa anajisahau sasa.
 
Mwigulu anasema kuwa hakuna utaratibu wa kuongeza mkataba. Anasema kuwa watu wakifikisha umro wao wa kustahafu waende zao ili kutoa fursa kwa wengine kuajiriwa
 
Mmmh yatatekelezeka hayo jamani? Au tunaombwa huruma ya wananchi? Ukijalia kiti utakumbuka......... Au tutarudi kwenye YALE YALEEE TUPO KWENYE MCHAKATO.....

Hakuna kitachotekelezwa hapo hizi ni ngonjera tu
 
Safi sana Mwigulu,watu wanastaafu mara wanapewa madaraka mapya tena ya kuteuliwa,safi sana hili likikomeshwa,MWIGULU unaongea point hadi unanitoa machozi
 
Back
Top Bottom