Kutoka damu ukeni na maumivu ya kiuno

Tachu hano

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,506
Reaction score
2,518
Habari wana jamii forum , kuna Rafiki yangu wa kike anahitaji ushauri afanye nini,

ni hivi aliingia MP siku kumi na tano zimepita ila bado damu zinatoka kidogo kidogo na anahisi maumivu ya kiuno

Ndugu zangu tatizo ni nini hasa kwa anaweza kujua msaidieni ndugu zangu

Mwenye kujua.. Tafadhari
 
Mshauri awahi hospitali tu akafanye uchunguzi wa kina,hyo hali haisababishwi na kitu kimoja,ko aende ajue ni nin haswa kinamsumbua.

Philips X2560
 
Inaweza kuwa miscarriage or not. But aende hospital..siku 15 sio hali ya kawaida hiyo aisee
 
See gynecologist for better treatment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…