Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

paul green

Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
18
Reaction score
17
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage

kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah shaibu {ninja}
7.mrisho ngasa
8.feisal salum
9.amis tambwe
10.haruna moshi {bobani}
11.ibrahim ajibu

sub
ibrahim amid
juma abdul
mwinyi haji
deus kaseke
juma makapu
pius buswita
heritier makambo
====

UPDATES:
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Stand United na Yanga kwa sasa ni kipindi cha pili Uwanja wa Kambarange, huku kukiwa hakuna timu ambayo imefanikiwa kuona lango la mpinzani.

Yanga wanalazimisha kufika lango la mpinzani, huku Stand United wakicheza kwa kujilinda.

Yanga anaongoza kwa kumiliki mpira akiwa Uwanjani huku mpinzani wake Stand United akicheza kwa tahadhari.

Stand United wanatangulia kupata bao kupitia kwa Nahodha Jacob Masawe dakika ya 88

Dakika 90: Kwa mara ya kwanza tamu msimu uanze, Yanga inapoteza mchezo. Stand United 1-0 Yanga SC
6fb1c45ff2dc7e46291bc152a146647e.jpg
 
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage

kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah shaibu {ninja}
7.mrisho ngasa
8.feisal salum
9.amis tambwe
10.haruna moshi {bobani}
11.ibrahim ajibu

sub
ibrahim amid
juma abdul
mwinyi haji
deus kaseke
juma makapu
pius buswita
heritier makambo
Sidhani kama kuna mtu atafuatilia hii mechi. Hata yanga wenyewe. Leo kuna timu kubwa ya nchi inawakilisha nchi.
 
Alama za uwanjani zimefutika sijui refa anatoa vp maamuzi
 
Sidhani kama kuna mtu atafuatilia hii mechi. Hata yanga wenyewe. Leo kuna timu kubwa ya nchi inawakilisha nchi.

Mbona mimi nafuatilia ...ninao uhakika mamilioni ya watanzania wakiwemo wanayanga na wasio wanayanga wanafuatilia pia...hata wewe unafuatilia pia kwa comment yako hapa
 
Mkuu leta updates za kila baada ya dk 5 tafadhalj
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage

kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah shaibu {ninja}
7.mrisho ngasa
8.feisal salum
9.amis tambwe
10.haruna moshi {bobani}
11.ibrahim ajibu

sub
ibrahim amid
juma abdul
mwinyi haji
deus kaseke
juma makapu
pius buswita
heritier makambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom