Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Punguzeni kelele
IMG_20190120_093635.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtani kwenye haya mashindano tulishafungwa. Hivyo tunakubali matokeo.
Vipi mwali nasikia anakandwa maji baada ya "koki" kutolewa na Stendi.
Ukifa "Vitani"wewe ni shujaa haijalishi risasi ngapi.Ukifa STENDI basi lazima uwe teja.
Na unajua madhara ya "koki" kutolewa maji huwa yanatiririka.
 
Zahera ameanza kulaumu marefa eti jana wameiua timu yake.
Bikra imetokea walafi wanangojea pembeni.
Vilio vya kumtaka Kakolanya vimeanza. Ngoja zifike mechi 3 bakora zitaanza.
Zahera hawajui migongo wazi akamuulize Tambwe Leya.
 
Sisi tulishachukua ubingwa. Umetolewa bikira na ubingwa utausikia redioni. Jana tu mmeshamkumbuka Kakolanya. Baada ya mechi 3 mtani bakora zitaanza.
 
Back
Top Bottom