Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga piga mtu goli tatu, simba waingie kucheza na As Vita club wakiwa na stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa stendi wamekula amba rutty....Asante Masawe bikra imejileta gheto, umechapa bila kushusha kaptula.
Tunawakaribisha kwenye burudani ya kimataifa, angalau mpoze machungu.
Kumbe game hii ilikuwa inafuatiliwa kwa nguvu, kuna watu humu walisema game hii haifuatiliwi...
Lawama za goli kwa kindoki. Sasa ni wakati wa kocha kupunguza hasira amsamehe kakolanya. Huyu kindoki hastahili kudaka ganga
Povu ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, kabsa
Upo ndg yangu?Yanga piga mtu goli tatu, simba waingie kucheza na As Vita club wakiwa na stress
Sent using Jamii Forums mobile app