Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Vigelegele vinasikika STENDI. Kuna mwali kabikiriwa na Massawe.
Eka Meku
Eka Njovu
 
Nasikia mwali analalamika eti Massawe ameingiza 'kichwa' kwa nguvu wakati yeye hakuwa amepanua sawasawa.
Sijui makungwi watasemaje?
 
Back
Top Bottom