Ni kweli mkuu, kwa kipigo hiki habari ziwafikie ...... OLE WAO WAISHIO JANGWANI!!!Talk freely mkuu this time mnyama hatanii
Kumbe uko hapa? Nimekutafuta sana ujue...Ahaaa. Kumbe hivyo nimekuelewa sasa jirani.
Hahahaha LOLSimba kama Liverpool vile!
Wako sehemu wanaranda mbao...teh teh ndala fc siwaoni humu
Mwenye timu karudi.Asanteeee Okwiiiiiiii
Nikifika kwenye Avatari yako lazima nianze kutabasamu,haya bwanaWoyoooooooooooooo
Wako wanadeki tope pale bwawani.teh teh ndala fc siwaoni humu
Nipo hapa Babu niambie mzima?Kumbe uko hapa? Nimekutafuta sana ujue...
Teh. Dada umerudi?Asanteeee Okwiiiiiiii
Nipo hapa Babu niambie mzima?
Kumbe na wewe ni wa pande hiii!! safi sanaWoyoooooooooooooo
Hahaaaaa. Mwambie emmy kazipokea kwa shingo upande.