Sasa hiyo ni ndoto au kitu gani?Unaweza shangaa Simba akufungwa
chezea singida weweKila la heri mnyama yangu
Umekumbuka kunichukulia popcorn kweli[emoji86]Mie nipo hapa sibanduki mpaka hatua ya mwisho.
Nendeni mkadeki pale kwenu, mvua zimeisha! Kuna tope bado.Simba Leo lazima ikalie dodoki kutoka Singida
we subiri nyie bunju si imewashinda na mo wenu.Nendeni mkadeki pale kwenu, mvua zimeisha! Kuna tope bado.
Me mnyama dam patShunie kumɓe memɓer mpaƙa kumnƴama[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naomba mimi nije kwenye hiyo Tv nyumbani mkuuHapana siko Uwanjani Mkuu.
Mpira uwanjanichezea singida wewe
Kapigeni deki pale, acha kelele.we subiri nyie bunju si imewashinda na mo wenu.
ndo utashangaa sasa simba anavyopigwaMpira uwanjani
Uko wapiMie nipo hapa sibanduki mpaka hatua ya mwisho.
subiri wewe utaona mamboKapigeni deki pale, acha kelele.
Halaf mnaoshabikia hapa ni yanga ebu mtuache jaman pambaneni na hali yenundo utashangaa sasa simba anavyopigwa
Si nasubiria matokea dada. HahahaaaKhaaaaa kisa
Hahahaaa. Sie na kuwanga wapi na wapi dada. Labda SingidaHii ita ya leo ebu msianze kutuwangia jamaan
🙄🙄Halaf mnaoshabikia hapa ni yanga ebu mtuache jaman pambaneni na hali yenu
Ngoja nilete Mkuu wote tule kwa raha zetu huku tunasubiria mechi. Hahaaa.Umekumbuka kunichukulia popcorn kweli[emoji86]
Karibu sana Mkuu. Mpira wa kuangalia wengi huwa unanoga hatari.Naomba mimi nije kwenye hiyo Tv nyumbani mkuu
Usimuite Shunie,wa kuangalia wawili ndio raha sanaKaribu sana Mkuu. Mpira wa kuangalia wengi huwa unanoga hatari.
Da Shunie pia njoo. [emoji85]
Niko home.Uko wapi