Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Utapata Mkuu. Usijali.mtugei update wengine tutakuwa maeneo ambayo hayaruhusu kusikiliza radio wala kuangalia TV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapata Mkuu. Usijali.mtugei update wengine tutakuwa maeneo ambayo hayaruhusu kusikiliza radio wala kuangalia TV
Dada unashabikia ipi.Mie nipo hapa sibanduki mpaka hatua ya mwisho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naomba nije tukae wote kama upo hapa uwanjani tayari.
Hapana siko Uwanjani Mkuu.
Wai mkuu nipo siti ya mbele kabisa tumshuhudie mnyama anavyomrarua mtu mapemaNgoja nilete Mkuu wote tule kwa raha zetu huku tunasubiria mechi. Hahaaa.
Mie niko Singida mdogo wangu timu yetu ya Nyumbani ile Mwifwa.Dada unashabikia ipi.
Singa United au Wekundu wa Msimbazi.
Ila kumbuka Uzalendo ni muhimu[emoji4] [emoji4]
Lazima niondoke na nyama leo, karibu mapupu kesho asubuhiKila la heri mnyama yangu
Hahaaa. Sio atararuliwa. [emoji12]Wai mkuu nipo siti ya mbele kabisa tumshuhudie mnyama anavyomrarua mtu mapema
Subiri muone cha motoSimba tandika hao Wanyaturu bao tatu bila
Uzalendo kwanza Dada yanguSanaaa yani dada. Kama mie leo niwe mkweli tu nashabikia Singida.
Kweli kabisa Mdogo wangu.Uzalendo kwanza Dada yangu
Ngoja tuwaoneshe jinsi tulivyoshibaMie niko Singida mdogo wangu timu yetu ya Nyumbani ile Mwifwa. [emoji12]
Duuuh brother unanifanya nikaitafute hii mboga aiseeNgoja tuwaoneshe jinsi tulivyoshiba
View attachment 678768
Leo tutabadili mboga maana kitoweo nje nje hapaDuuuh brother unanifanya nikaitafute hii mboga aisee
Hahahaa nishajiakikishia ushindi mkuu..tusivunjane moyo tafadhaliHahaaa. Sio atararuliwa. [emoji12]
Usijali ntakufariji pale ukianza kupokea kichapoMie niko Singida mdogo wangu timu yetu ya Nyumbani ile Mwifwa. [emoji12]
Hahaaa. Mie nilishapambana na hali yangu jana. Leo macho yangu Kodo kumsubiria mtani wangu.Hahahaa nishajiakikishia ushindi mkuu..tusivunjane moyo tafadhali
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sawa Mkuu.Usijali ntakufariji pale ukianza kupokea kichapo