Hahahaa. Sema wewe.ndo utashangaa sasa simba anavyopigwa
MmhSi nasubiria matokea dada. Hahahaaa
Hapana nyie mnaombea sana tufungweHahahaaa. Sie na kuwanga wapi na wapi dada. Labda Singida
Nipo mimiKaribu sana Mkuu. Mpira wa kuangalia wengi huwa unanoga hatari.
Da Shunie pia njoo. [emoji85]
Mpira gani huo wa kuangalia wawili tenaUsimuite Shunie,wa kuangalia wawili ndio raha sana
Hahaa. Dada yangu huyo lazima nimuite bana.Usimuite Shunie,wa kuangalia wawili ndio raha sana
Sanaaa yani dada. Kama mie leo niwe mkweli tu nashabikia Singida.Hapana nyie mnaombea sana tufungwe
Nalifahamu hilo toka lini mkashabikia simbaSanaaa yani dada. Kama mie leo niwe mkweli tu nashabikia Singida.
Basi sitokuja kama kuna wadau kibaoHahaa. Dada yangu huyo lazima nimuite bana.
Na huku siko peke yangu nina wadau kibao.
Hahaaa. Basi wewe sio mpenzi wa Mpira.Basi sitokuja kama kuna wadau kibao
AAA Mkuu usije bhanaMpira gani huo wa kuangalia wawili tena
Napenda "mpira" mkuu tena sanaHahaaa. Basi wewe sio mpenzi wa Mpira.
Haitakaa itokeee kwa kweli dada.Nalifahamu hilo toka lini mkashabikia simba
mtugei update wengine tutakuwa maeneo ambayo hayaruhusu kusikiliza radio wala kuangalia TVNiko home.