Nilikwambia utaondoka kipind cha kwanza naona mapemaa ushawasha gar na kusepaUmeme umekatika huku [emoji12] [emoji12]. Niulizie basi halafu uniambie.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilikwambia utaondoka kipind cha kwanza naona mapemaa ushawasha gar na kusepa
Ngoja Nkuletee Radio uko kwa wap swahiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
wakalime vitunguu na alizeti,wakamuunge raisi ktk kaulimbiu ya tanzania ya viwanda,kumfunga mnyama ni shidaSimba 2- Singapore 0
simba 2 singida 0Tujuzane mayokeo jamani! Kutoka uwanjani!