Mkuu nini tenaa mbona hali imekubadilikia ghaflaMagoli yenyewe yakubebwa kabisaa mpaka aibu
Kuna goli ambalo jana Yanga walifunga likakataliwa?Wakubebwa 2-singida 0
Nipo kwenye ule Mtaa wa mbili bila so ukisogea sogea utasema nikufateNdio natoka Ofisini niambie Swahiba nikukute wapi. [emoji12]
Goli la kwanza alisimama tu golini. Huo muamala aliopewa si mdogo.Kuna jamaa hapa anasema eti Manyika junior kapokea mzigo tigo pesa! Wa matopeni bwana...
Hakuna offside pale.. beki no.2 ndo amemuweka kwasi onsideHapana goli LA pili labda machouangu makengeza naona kama of side
Babu hakuusoma mchezo mapema manyika kachukua kifurushi chakeGoli la kwanza alisimama tu golini. Huo muamala aliopewa si mdogo.
Pluijm atafute keeper toka nje ya nchi.
Amefanya kosa gan pale, mbele kuna mabeki kama 4Goli la kwanza alisimama tu golini. Huo muamala aliopewa si mdogo.
Pluijm atafute keeper toka nje ya nchi.
Basi mie nakusubiri hapa mtaa wa mbili mbili. Nikifika siondoki mpaka uje [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nipo kwenye ule Mtaa wa mbili bila so ukisogea sogea utasema nikufate
Hahaaa. No kuhama hiyo.Hahahaa itakua unashabikia timu ya nyumbani sio bure
Eneo lake lazima apambane na aongee na mabeki wakeAmefanya kosa gan pale, mbele kuna mabeki kama 4
Nipo sokoni mama ukifika bei nahamia singida maana ni majiran zanguHahaaa. No kuhama hiyo.
we unafanya muda gani uko hapa unapost[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kazi mnafanya muda gani?
Mpka ufike huo Mtaa jua kabisa itakuwa kesho hyoBasi mie nakusubiri hapa mtaa wa mbili mbili. Nikifika siondoki mpaka uje [emoji2] [emoji2] [emoji2]