Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Huyu aliyeomba msamaha jana bado anaendelea kukata viuno uwanjani au hayupo kabisa?
 
Kuna jamaa hapa anasema eti Manyika junior kapokea mzigo tigo pesa! Wa matopeni bwana...
Goli la kwanza alisimama tu golini. Huo muamala aliopewa si mdogo.
Pluijm atafute keeper toka nje ya nchi.
 
Jamani mikia ongezeni mabao, hawa jamaa wana uwezo wa kurudisha hayo mliofunga!
 
Back
Top Bottom