Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Mkuu sema tu wewe hujawahi tafuta utàjiri kwà waganga wa kweli
Huyo anayekupa hayo mazingaombwe ya uganga yeye mwenyewe masikini wa kitupwa...

Tupo karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, watu wanarusha vyombo anga za masafa marefu, ila bado watu wanafikiri kuna pesa za kuteremshwa na waganga.., manabii, wachungaji uchwara......my bro hakunaaaaa....believe me...unachoenda kuambulia huko ni allucination za muda tuu kukuliwaza...

soma nyuzi za kina mshana.watu bongo wanatajirika kupitia maiti
Hakuna kitu kama hicho....Hizo ndo illusion zenyewe...Halafu hizo ni stori, nikikwambia unipe mfano hai wa mtu aliyepata utajiri kwa njia hiyo hutoweza..
 
Roho inaniuma kichizi demu mzuri namna hiyo anaenda kwa mganga. Hvi mganga hajamwambia kuna dawa anatakiwa aingize mwilini mwake kwa kutumia dushe kweli?
Haaahaaa....dawa ya kuingiza mwilini kwa kutumia dushe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji125]
 
Huyo dada mmemjuaje?
Ni bongo muvi?
Usikute kiki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…