Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Huyo anayekupa hayo mazingaombwe ya uganga yeye mwenyewe masikini wa kitupwa...Mkuu sema tu wewe hujawahi tafuta utàjiri kwà waganga wa kweli
Tupo karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, watu wanarusha vyombo anga za masafa marefu, ila bado watu wanafikiri kuna pesa za kuteremshwa na waganga.., manabii, wachungaji uchwara......my bro hakunaaaaa....believe me...unachoenda kuambulia huko ni allucination za muda tuu kukuliwaza...
Hakuna kitu kama hicho....Hizo ndo illusion zenyewe...Halafu hizo ni stori, nikikwambia unipe mfano hai wa mtu aliyepata utajiri kwa njia hiyo hutoweza..soma nyuzi za kina mshana.watu bongo wanatajirika kupitia maiti